Tutengeneze Dira ya Taifa ya Madini ili Kunufaika
Ukosefu wa Dira ya Taifa ya Madini nchini Tanzania ni moja ya kikwazo kwa nchi kunufaika na Rasilimali za Madini, Serikali imeelezwa. Mwanazuoni Japhance Poncian kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam ameyaeleza haya wakati akichangia mdahalo uliofanyika Jumatatu Oktoba 25 jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya sherehe za Wiki ya Azaki kwa mwaka huu …
Tutengeneze Dira ya Taifa ya Madini ili Kunufaika Read More »